Mandonga aliejipatia umaarufu kwa muda mfupi akutana na kichapo kutoka kwa Shabani Kaoneka. Katika pambano hilo Mandonga alipigwa kwa K.O na mpinzani wake Shabani Kaoneka, Mandonga aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na mbwembwe zake kupitia mitandao ya kijamii kabla ya pambano hilo amewavunja nguvu mashabiki zake waliojipa matumaini makubwa kwamba Bondia wao atautwaa ushindi dhidi ya mpinzani wake bahati mbaya mambo yakawa tofauti kabisa.
Kufwatilia pambano hilo tazama video hapa chini..
No comments:
Post a Comment